SPORT NEWS: Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 11.08.2018: Modric, Hazard, Malcom, Pogba, Dyche, Vlasic, Grealish

Haki miliki ya picha
Related image
Luka Modric ameamua kubaki Real Madrid. Kiungo huyo wa kati raia wa Croatia mwenye miaka 29 amehusishwa na kuhama kwenda Inter Milan. (AS - in Spanish)
Modric atasaini mkataba mpya na kupandisha mshara wake kufikia ule wa nahodha Sergio Ramos. (Marca)
Kiungo wa kati wa Manchester United mwenye miaka 25 Paul Pogba anataka kubaki kwenye klabu (RMC Sport - in French)
Image result for pogba photos
Kiungo wa kati wa Chelsea Tiemoue Bakayoko, 23, amekasirishwa kutokana na yeye kutokuwepo kwenye mipango ya meneja Maurizo Sarri na anatarajiwa kutolewa kwa mkopo kwa klabu ya Italia AC Milan.
Wolves wamijiwekea lengo la kishinda Ligi ya Premio katika kipindi cha miaka saba. (Times - subscription required)
Beki mpya wa Fulham mwenye miaka 24 Joe Bryan alibadili mawazo yake kuhusu kuelekea Aston Villa akiwa safarini na kikosi hicho wakati wa mazoezi baada ya kupita uchunguzi wa kiafya. (Bristol Post)
Image result for Joe Bryan photos
Ajenti wa kiungo cha kati wa Barcelona Malcom anasema mchezaji huyo wa miaka 21 raia wa Brazil alikataa kuelekea Roma kalipiza kisasi kutokana na jinsi walimtemda na mteja wake. (TuttoMercatoWeb- in Italian)
Kiungo wa kati wa Aston Villa mwenye miaka 22 Jack Grealish atapewa mkataba mpya na pauni milioni 30 za kununua mkataba wake. (Sun)
Aliyekuwa kiungo wa kati wa Manchester City Stephen Ireland, 31, anafikiria kuhama Ujerumani baada ya kundoka Stoke City mwisho wa msimu. (Mail)
Image result for Stephen Ireland photos
Haki miliki ya Bordeaux, Rennes, Saint-Etienne na Girona wote wanammezea mate wing'a wa Manchester City mwenye miaka 21 raia wa England Patrick Roberts kwa mkopo. (Sun)
Kiungo wa kati wa Croatia mwenye miaka 20 Nikola Vlasic anaratajiwa kujiunga na CSKA Moscow kwa mkopo (Sport24 - in Russian)
Meneja ya Everton Marco Silva amemuambia mshambuliaji Ademola Lookman, 20, abaki klabuni na apiganie nafasi yake. (Telegraph)
Image result for Ademola Lookman photos
Haki miliki ya picha
Manchester United wamekoselewa kwa kushindwa kulipa wafanyakazi wake wote marupurupu, licha ya kuahidi kufanya hivyo. (Telegraph)
Paris St-Germain walikataa ofa ya Manchester United kwa mshambuliaji wake raia wa Ufaransa Kylian Mbappe, 19. (Mirror)
Image result for Kylian Mbappe photos


Comments

Popular Posts