MICHEZO Magazetini leo Ijumaa 3/8/2018:Niyonzima na Simba imebaki Story.
Magazeti ya michezo leo Ijumaa tarehe 3/8/2018 yametawaliwa na habari ya simba kucheza kirafiki na mabingwa wa Morocco, Yanga yamtema rasmi Rostand na Niyonzima na Simba imebaki Story.
Comments
Post a Comment