SPORT NEWS: Okwi, Kagere watupi kwa Wamorocco






Simba imedhihirisha kuwa wao ni wababe baada ya kuichapa Ittihad Readi de Tanger ya Morocco mabao 3-1.
Ni Emmanuel Okwi raia wa Uganda aliyepachika mabao mawili na Mnyarwanda Meddie Kagere akifunga moja.
Wachezaji hao walifunga mabao hayo katika mchezo huo uliokuwa na ishindani mkubwa, Simba walicheza soka ya kuvutia na pasi.
Awali mchezo huo ulikuwa uchezwe jana Ijumaa lakini kutokana na hali ya hewa ukasogezwa mbele mpaka leo.
Huo nichezo wa pili kwa wa kimataifa wa kirafiki kwa Simba.
Simba inatarajia kurudi jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia keshokutwa.

By Doris Maliyaga

Comments

Popular Posts